
ALLELUYA MSHUKURUNI MUNGU KWA KUWA NI MWEMA! KWA MAANA UPENDO WAKE MKUU NI WA MILELE! ALLELUIA
GLORY! GLORY! TO GOD ALMIGHTY MOST HIGH!
GLORY TO YUO OH GOD SITED MAJESTICALLY YOUR FIRMAMENT HEAVEN!!!!
YOU ARE GOD FOR EVER AND EVER! ALLELUIA!
WE PRAISE YOU! WE GIVE YOU GLORY! WE THANK YOU GOD! AMEN AMEN!!!
(picha)
Tarehe 14 Septemba 2022 haitasahaulika na Masista wa Mt. Gemma wa Dodoma.
Siku iliyotolewa rasmi na Mwenyezi Mungu Shirika limjazzie sifa za shangwe na nderemo katika adhimisho lao shirika kuishi miaka 75 tangu kuanzishwa kwake.
Kila mwanashirika anashuhudia maajabu aliyolitendea Shirika katika miaka hii 75.
Kwa nini basi tusimshukuru sisi wana Ushirika wa Gemma!!!!
Katika zawadi zote, shuhudia hiyo GESTEMANI YA YESU, NYUMBA YA ASILI KONDOA! SASA JE!! ALLELUIA!!
NDIYO! KWELI AMETUTENDEA MAKUU MNO!!! AMINAAA! MSANGALALEE!!
(picha)