St Rita of Cashia Prayer Group

St. Rita of Cashia Prayer Group obliged to be the partner Prayer of Basiliana Elder and Infirmary House

This is a call from the Bishop’s Office to each Apostolic association to have a group of the need to look for

MWALIKO WA KUSALI NOVENA
Wapendwa masista tunaalikwa kujiunga na wanachama wa Mt. Rita wa Kashia kusali Novena kuanzia leo. Tunaosali misa ya jioni hapa Jimboni ninaomba basda ya misa tujiunge na hawa wanachama katika Grotto ya mama Maria kwa Dk zisizozidi 15 tuoneshe umoja wetu kwao waliotuthamini na kuonesha upendo wao kwa masista wetu wazee. Ninawasihi wenye nafasi twendeni kwa wingi

Leave a Reply